MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II) at Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 (80.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Duties
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa;
Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
.Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; naix.Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 (80.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Salary: TGS C
How to apply
Open the employer's application portal and follow the instructions for this vacancy.
Turn these requirements into a plan.
Keep a private checklist for this role, practise relevant skills and collect examples of your work before you apply.
Prepare for this roleSign in required; accounts are currently by invitation. Your checklist does not submit an application.
Before you apply
- Read the original notice and confirm eligibility.
- Prepare your CV and the documents requested.
- Check the deadline and keep proof of submission.
Application details
Contact: Halmashauri ya Wilaya ya Magu
Last checked: 13 Nov 2026
A linked source is not a guarantee of an offer. Report concerns directly to the organisation and never pay application fees.