All opportunities

DEREVA DARAJA II (DRIVER II)

Tanzania (location not specified)JobPosted 6 Nov 2026Closes 19 Nov 2026

DEREVA DARAJA II (DRIVER II) at Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

Duties

Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;

Kuwapeleka Watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;

Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;

Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;

Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali; na

Kufanya usafi wa Gari;

Qualifications

Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

Salary: TGS B

How to apply

Open the employer's application portal and follow the instructions for this vacancy.

Turn these requirements into a plan.

Keep a private checklist for this role, practise relevant skills and collect examples of your work before you apply.

Prepare for this role

Sign in required; accounts are currently by invitation. Your checklist does not submit an application.

Before you apply

  • Read the original notice and confirm eligibility.
  • Prepare your CV and the documents requested.
  • Check the deadline and keep proof of submission.

Application details

Contact: Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu
Last checked: 6 Nov 2026

A linked source is not a guarantee of an offer. Report concerns directly to the organisation and never pay application fees.

Closes 19 Nov 2026Apply directly